Kajala amwaga mipesa kwawaimbaji wa Skylight Band jukwaani baada ya kufurahishwa....

Msanii wa bongo movie Kajala akitembeza manoti ya wekundu wa msimbazi kwa waimbaji wa Sky-light Band Ijumaa iliyopita alipofurahishwa na uimbaji wao.
Wale wasanii waliokuwa back stage pia walibahatika kujizolea manoti kutoka kwa Kajala.
Joniko Flower akipokea manoti yake kutoka kwa Msanii wa bongo movie Kajala.
Powered by Blogger.