Joketi Kujenga Viwanja vya Michezo
Mrembo, Jokate Mwegelo ameahidi kujenga viwanja vya michezo kwa shule ya Sekondari ya Majani ya Chai iliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam...
Mrembo, Jokate Mwegelo ameahidi kujenga viwanja vya michezo kwa shule ya Sekondari ya Majani ya Chai iliyopo Vingunguti jijini Dar es Salaam...
Mwigizaji wa filamu na mtayarishaji, Jacob Stephen ‘JB’ Ijumaa hii amenusurika kifo katika ajali ya gari. Mwigizaji huyo ambaye hivi karibun...
Kauli hiyo ya Kajala imekuja siku chache baada ya kuulizwa na Global Digital kama ana ndoto za kupata mtoto mwingine siku za hivi karibuni w...
Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni msanii wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince kutoka kwenye label ya Rockstar 4000 aliingia kwenye headlines...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego kuende...
Gwiji wa mziki wa taarabu nchini Mzee Yusuf amethibitisha kuwa ameachana na kazi hiyo takribani miezi miwili iliyopita. Taarifa zilizoenea k...
Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhawani Kikwete amewapongeza wasanii wa muziki, Diamond Platnumz na AliKiba kwa kutoa msaada wa tsh 41milioni kwa ...
Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari. Diamond Muimbaji huyo amesema yey...
Meneja wa mwanamuziki wa kimataifa Diamond Platnumz, Hamis Tale Tale maarufu kwa jina la ‘Babu Tale’ hivi sasa yupo mikononi mwa polisi Maha...
Penzi kati ya Baraka da Prince na Najma linazidi kupamba moto na gumzo mitandaoni baada ya jana Baraka kuposti video akifanya yake kitandani...
Mchekeshaji Stan Bakora ameendelea na utani wake ambapo Ijumaa hii ameachia video ya kumdhihaki rafiki yake Nay wa Mitego baada ya kufungiwa...
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyakuwa akimuunga mkono Edward Lowassa katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga ...
Kupitia account yake ya twitter Jokate ameandika ujumbe mfupi na kusema anasubiri EL kurudi chamani "Waiting on EL kurudi chamani"...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kumekuwa na minongono mingi kutoka kwa baadhi ya wananchi kuhusu Filamu ya Mapenzi ya Mungu ya msanii Eliza...
Msanii wa filamu nchini, Shamsa Ford, amesema katika wasanii ambao anawakubali kutokana na ubora wa kazi zao mmojawapo ni Irene Uwoya. Shams...
Baada ya Mwanamuziki Diamond Platnumz Kuchukua Tuzo Tatu za Afrimma 2015, Vanessa Mdee Nae Ameibuka Kidedea.... #KutokaDallas @VanessaMdee a...
Tuzo ya msanii bora wa mwaka imechukuliwa na @diamondplatnumz. HIZI NDIO TUZO NZITO AMBAZO DIAMOND PLATNUMZ AMETWAA TOKA AFRIMMA 1.Best male...
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye sasa ni mama, amepost picha za mtoto wake huyo wa kike aliyefikisha umri wa miezi 6. Mobetto ambaye ameza...
SASA imethibitika kuwa ndoa kati ya muigizaji nyota wa filamu Wastara Juma na Mtangazaji Bond Suleiman itafanyika mara baada ya uchaguzi mku...