Mvua yaharibu makazi ya watu wamabonde jijini Dar es Saalam
Hapa ni makutano ya Barabara ya Morogoro na Lumumba ambapo ujenzi wa Barabara umekamilika lakini tatizo la kujaa kwa maji linaendelea.
Upepo mkali uliangusha baadhi ya Miti.
Hali ya maji katika bonde la msimbazi, serikali imeiifunga barabara ya Morogoro kutoka magomeni hadi Faya, kutokana na maji kuvuka kima cha Daraja la Jangwani.