Watu 2 Wanashikiliwa na Polisi kwa Kukutwa na Meno ya Tembo Simiyu
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia watu wawili kwa kukutwa na meno ya tembo yenye uzito wa kilo sita ikiwa ni pamoja na silaha moj...
Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia watu wawili kwa kukutwa na meno ya tembo yenye uzito wa kilo sita ikiwa ni pamoja na silaha moj...
Zikiwa ni takribani wiki mbili tangu Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha, Alexander Mnyeti kuwaweka ndani madiwani wanne wa Chadema kw...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke limeua watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Akizungumza na waa...
Na Dotto Mwaibale MAJONZI na vilio vilitawala ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati Kijna Said Mrisho anayedaiwa ku...
JESHI la polisi mkoani Pwani ,limewakamata watoto 22 wa madrasa ya Arahma pamoja na mwalimu wa madrasa hiyo Ashura Said(47) ambae alikuwa ak...
Yowe ya kuvamiwa na wanyonya damu , iliyopigwa na wanawake waliokuwa wakichimba chumvi katika Kijiji cha Iringa-Mvumi wilayani Chamwino, Mko...
Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kumjeruhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresa Mmbando inayowakabili Saed Kubenea, Halima Mde...
Na Angela Sebastian, Bukoba POLISI mkoani Kagera inamshikilia na kuanza uchunguzi wa awali dhidi ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa, ...
Vitendo vya ukatilitili wa kijinsia kwa watoto vimeendelea kuongezeka kwa kasi nchini katika kipindi cha mwezi Januari hadi Julai mwaka huu ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka minne jela, Daktari Nicholaus Matomola, baada ya kukiri ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba mkoani Kagera imewahukumu kifungo cha maisha watu watatu kwa makosa ya kula njama na kuchoma makanisa mbalim...
Na: Frank Shija, MAELEZO TAKRIBANI shilingi bilioni 1.5 zimechangwa kufuatia matembezi ya hisani yaliyopewa jina la “Walk for Kagera” yaliyo...
Majambazi wapatao 10 juzi usiku walivamia magari mawili yaliyobeba wafanyabiashara waliokuwa wakitokea mnadani na kumuua kwa risasi, dereva ...
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ku...
1 Tukio la tetemeko: Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Kitovu cha tetemeko hilo ni kw...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Bukoba mjini kuaaga miili ya watu 16 waliofariki kutokana na teteme...
September 10 2016 lilitokea tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha 5.7 na kusababisha vifo vya watu 16 na wengine ...
Tetemeko la ukubwa wa mtikisiko wa kipimo cha Ritcher 5.7 limetokea katika mikoa mitatu nchini na watu zaidi ya 10 wamekufa na wengine 120 ...
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam anatoa rai kwa wakazi wa Jiji la Dar Es salaam na wageni wanaoingia jijini wakitokea mikoani ...
ELIZABETH Asenga (40), mkazi wa jijini Dar es Salaam amepandishwa kortini jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuandika...