Meli ya mizigo yazama Ziwa Victoria..........Soma zaidi hapa

Meli ya mizigo ya Kampuni ya FB Matara iliyokuwa ikotoka Bukoba kuelekea Mwanza ikiwa na wafanyakazi wasiopungua kumi na shehena ya sukari imezama ziwa victoria katikati ya visiwa vya Kerebe na Bumbile.
Powered by Blogger.