Angalia picha za Ajali... Basi la abiria la Ratco lapinduka Kibaha Pwani....

Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani jana jioni Aprili 27, 2014.

Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipindukia ubavu baada ya kuacha njia.


Wananchi wakitoka kwenye gari kupitia madirishani.

Endelea kuungana nasi... Tunaendelea na uchunguzi utapata habari zaidi badaae.
Powered by Blogger.