BREAKING NEWZ!!!!!!... MAJAMBAZI WAWILI WALIOKUWA NA SILAHA WA KAMATWA JIJINI DAR.. Soma zaidi hapa


MAJAMBAZI wawili waliokuwa kwenye pikipiki yenye namba za usajili T 225 CQC aina ya Kapor wamekamatwa wakiwa na silaha wakijiandaa kufanya uhalifu katika kituo cha kuuza mafuta cha Oilcom kilichopo Kongowe-Mbagala, jijini Dar!

Majambazi hayo yametiwa mbaroni na askari polisi zaidi ya kumi waliokuwa wamevalia nguo za kiraia wakiwa na magari aina ya Land Cruiser yenye namba za usajili T 148 AEN na T 848 AGF!





TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 
Powered by Blogger.