Home/Bongo celebrities/Nay wa Mitego aanza kuuza mkaa baada ya kufungiwa muziki... Video hii hapa
Nay wa Mitego aanza kuuza mkaa baada ya kufungiwa muziki... Video hii hapa
Mchekeshaji Stan Bakora ameendelea na utani wake ambapo Ijumaa hii ameachia video ya kumdhihaki rafiki yake Nay wa Mitego baada ya kufungiwa na BASATA.