Maafisa nchini Japan wanasema tetemeko kubwa la ardhi limewaua watu 19 na kusababisha uharibifu mkubwa.