Papa Francis kuzuru kisiwa cha Lesbos leo kuwaunga mkono wakimbizi wanaotaka kuingia ulaya
Papa Francis, leo atazuru kisiwa cha Lesbos kuonyesha kuwaunga mkono wakimbizi wanaojaribu kufika Ulaya. |