Polis walazimika kutumia nguvu, kufuatia umati mkuwa wa wafuasi wa CHADEMA kufurika mahakamani kusikiliza kesi ya Ezekiel Wenje
Mamia ya wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe leo wamefurika mahakama kuu jijini Mwanza katika kesi ya mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) anayepinga matokeo ya Stanslaus Mabula (CCM).
Polisi wametumia nguvu ya ziada kuhakikisha ulinzi unaimarika mahakamani hapo