Majambazi 3 wakamatwa wakiwa katika jaribio la kutaka kuiba katika Bank ya NMB tawi la Sinza-Mori Dar

Tukio hilo limetokea mchana wa jana katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika harakati za kutekeleza tukio hilo.
Majambazi hao baada ya kukamatwa wamepelekwa katika kituo cha Polisi Mabatini kilichopo Kijitonyama jijini Dar.