Tatizo la Usagaji limekuwa Sugu Bongo...Sasa laingia Mashule kwa kasi mno....


Uchunguzi Mdogo uliofanyika hivi karibuni umebaini kuwa tatizo la Usagaji limepamba moto na kuwa Sugu miongoni mwa wasichana wa kibongo na sasa kufikia mpaka wanafunzi wadogo wa kike kufanya mambo hayo wakiwa mashuleni.

Imebainika kuwa mitandao hasa Whats app na facebook imekuwa ndio njia wanazotumia wadada kutongozana wenyewe kwa wenyewe mpaka inafikia kufanya vitendo hivyo vya aibu wakiwa wanaanza na sexphone.

Kati ya wadada wengi waliohojiwa kuhusiana na tukio hili wamesema kuwa wao wanafagilia zaidi penzi la Jinsia Moja (Usagaji) kuliko na Mwanaume kwama hana hawumizwi kama ambavyo ilikuwa hapo awali wanapotendwa na wapenzi wao.

Nawengine walisema kwa wanaume wanafuata PESA tu na si mapenzi , Mmoja Alisema Hivi “Mimi nikiamua kufanya mapenzi na Mwanaume basi Ujue nataka kumchuna tu ila nikiwa nataka kuenjoy basi namtafuta Msichana Mwenzangu tunakula Raha”

Jamani Sijui nini kifanyike hapo??????? picha zaidi bofya hapa chini
Powered by Blogger.