Sakata la house girl aliye mtesa mtoto...Waajiri tujifunze
Daah kwa alieoona clip hii ataamini kuwa baadhi ya wanawake wana roho za kikatili. Na sijui huyo msichana ningemfanya nini katika nafasi ya yule baba.
Maana.. Na vile naskia habari tofauti wengine wanasema mtoto ameshaaga dunia , wengine wanasema yupo mahututi amepata tatizo la uti wa mgongo. Mungu asimame tu!

Yote sawa, hiki sio kigezo cha kunyanyasa wafanyakazi kwa sababu sio wote wenye roho katili hivi. Wengine wanaanza ukatili baada ya kukatiliwa na mabosi wao. Kuishi vizuri na hawa watu ni muhimu sana. Wao pia ni binadamu.
Ila pia haya ndio maisha ya watoto wengi wanaolelewa na kina mama wa kambo, ni basi tu wengi wao hawajakamatwa na camera zetu.
Wanaume wanaopenda kuzaa zaa , mtu unakuta anazaa pengine na kuoa pengine, mnaweka damu zenu zisizo na hatia katika ukatili huu. Istoshe suala la uzazi wa mpango limerahisishwa sana.
Ni ushauri tu kwa wanaume, waoe walipozalisha au wazae baada ya ndoa. Sababu hii ni hulka ya mwanamke ambayo haiwezi badilika, hata akupendeje huyo mwanamke, atakunyanyasia mwanao hivi.
Na wazazi waliooana ni vema kudumisha familia kakamavu , lasivyo kutengana kwa Baba na Mama huchangia hali.. Hii kwa kiasi kikubwa.
Nia yangu kuu ni , tujue kuwa maamuzi yetu ya sasa yanaashiria kitu mbeleni katika maisha yetu.Tusiwe wachoyo kwa kujifikiria tu na furaha za nafsi zetu, tujali hata wa pembeni yetu pamoja na damu zetu. Tunaweza sambaza upendo kwa kutenda kwa busara leo hii na kila mtu akaishi kwa furaha na amani.