Kijana avua Nguo barabarani baada ya kutumia madawa ya kulevya..Picha hizi hapa

Katika pita pita zatu siku ya leo tumekutana na kihoja hichi ambacho aupaswi kucheka ila tu kuwaonea huruma vijana wetu wanaopoteau kuangamia kutoka na matumizi mabaya ya vilevyaambavyo vinapigwa vita na serikali kila kukicha,kamera zetu zimemnasa kijana ambaye hakujulikana jina lake mara moja akiwa amevua nguo zote na kubaki kama alivyozaliwa na kung'ang'ania kwenye daraja la Kidau mjini Shinyanga barabara ya Mwanza Shinyanga.Mashuhuda wanasema kijana huyo kafika darajani leo na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine huku wakisema kuwa huenda amepandisha majini,ama katumia madawa ya kulevya yaliyomchanganya akili na hvyo kupelekea kufanya vituko hivyo.





Powered by Blogger.