Ugumu wa maisha mkoani Simuyu wasababisha wakina mama kufanya biashara haramu......Soma zaidi hapa
Baadhi ya akina Mama wameamua kutengeneza Pombe Haramu ya Gongo wakidai kuwa wanafanya hivyo kutokana na hali Ngumu ya Maisha, wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema kwamba kumekuwa na maisha magumu hali iliyosababisha wajihusishe na bishara hiyo na kudai kwamba ndio njia pekee inayo wapatia Kipato zaidi.
Hata hivyo Juhudi zinaendelea kufanyika ili kukutana na wahusika zaidi wanaoishi eneo hilo kujua kama kweli wapo sawa na pombe hiyo kuuzwa katika maeneo hayo.
Hata hivyo Juhudi zinaendelea kufanyika ili kukutana na wahusika zaidi wanaoishi eneo hilo kujua kama kweli wapo sawa na pombe hiyo kuuzwa katika maeneo hayo.
Mmoja wa akina Mama akiwa katika Kutengeneza pombe hiyo isiyo Rasmi, huko Simiyu