Mvua za masika zinazoendelea kunyesha za sababisha mafuriko Morogoro....

Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mzambarauni, Kata ya Mafisa, Manispaa ya Morogoro wakienda kuokoa mali zao.
Mvua za masika zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha mafuriko katika mkoa wa Morogoro kama picha zilizopigwa katika maeneo ya Nane Nane, Mwembesongo na Mji Mpya zinavyoonyesha.
Vijana wa Kichangani, Manispaa ya Morogoro  wakipita eneo lenye mafuriko
Wakazi wakishikana mikono kupita eneo la mafuriko ya maji ya mvua eneo barabara inayounganisha Kata ya Mafisa na Kichangani, Manispaa ya Morogoro
Moja ya nyumba za kulala wageni iliyokumbwa na mafuriko eneo la mzambarauni.

Powered by Blogger.