Ajali ya magari ya magari matatu ya mizigo imetokea Viwawa Wilaya Mbozi mkoani Mbeya imesadikika dereva wa gari aina ya tipa amefikwa na mauti papo hapo na wengine kujeruhiwa vibaya.
Kwa habari kamili usikose kutembelea mtandao huu.
www.paparaziwetu.blogspot.com