Taadhari picha zinatisha..Mtoto aliyetekwa akutwa ameuawa kinyama
Siku ya tukio watoto walikuwa wakicheza nje ya nyumba yao kama wiki moja iliyo pita ndipo kuna baba mmoja akapita akamwambia mtoto mmoja wa kiume amuonyeshe duka lilipo maeneo hayo yule mtoto wa kiume alikataa ndipo alipo mwambia mtoto wa kike aitwae Nuru nipeleke dukani.
Yule mtoto akatangulia mbele yule baba akiwa nyuma, yule mtoto wa mwanzo wa kiume akakimbia kwa shangazi yake ambaye ni mama wa mtoto Nuru
Ndipo mama wa binti huyo alipo acha shughuli zake na kuanza kumsaka binti yake ili kujua ni nani aliye msindikiza dukani lakini hawakuweza kumpata mpaka jana, ndipo walipokuta mwili wa mtoto huyo ukiwa umefanyiwa unyama wakutisha.