Gari alilopewa Wema sepetu na Kadinda,safari ya china ndio sababu ya Diamond kumuachaWema....
Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown leo kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.
Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile Soudy alichokuwa anamuuliza, Gossip Cop alilazimika kuzima kifaa cha kurekodi sauti ili Diamond ampe story kamili.
Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana
Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana