Angalia picha za ajali katika barabara ya Ali Hassani mwinyi
Gari aina ya Toyota Rav4 yenye nambari za usajli T 141 AHS likiwa katika mtaro wa katikati ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi,Maeneo ya Namanga mara baada ya kugongana kwa ubavuni na Gari nyingine aina ya Toyota Vits yenye nambari za usajili T 551 CUP.Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi waliokuwa nao Madereva wa magari hayo.Madereva wa Magari yote walitoka salama.
Gari aina ya Toyota Vits yenye nambari za usajili T 551 CUP na lenyewe likiwa mtaroni upande wa ng'ambo ya barabara baada ya kuigokwa Rav4 hiyo.
Break Down ikiitoa Toyota Vitz mtaroni.
Askari wa usalama Barabarani akizungumza na watu waliokuwa wakiendesha magari hayo.