Mashabiki wa Rihana kaeni mkao wa kula mwaka 2015

Kuna uwezekano mashabiki wa Rihanna wakaipata album mpya ya Rihanna mapema zaidi kuliko ilivyotegemewa, hii ni kwa mujibu wa DJ Skee wa Dash Radio.
Hivi karibuni Rihanna amewapeleka mabosi wake kwenye eneo la siri mjini New York ilikusikiliza nyimbo 10 ambazo ziko tayari ilikukamilisha album yake mpya na ya nane inayotarajiwa kutoka kabla ya mwaka 2015. Album ya mwisho ya Rihanna ni "Unapologetic" ilitoka 2012.
Inasemekana hivi karibuni Rihanna amebadilisha style ya mavazi yake ikiwa ni mpango wa kuficha umbo lake, Mara nyingi mastaa hufanya hivi wakiwa na kitu kipya kinakuja na hutaka muonekano wao kuwa Suprise kwa watu.


Powered by Blogger.