Southampton yaikandamiza Sunderland 8-0 …pata matokeo ya mechi zote za Jumamosi
Southampton imeichapa Sunderland bao 8-0 katika mchezo wa ligi kuu ya England jana Jumamosi, wakianza na lile la zawadi dakika ya 12 baada ya Vergini kujifunga.
Pelle akafunga dakika ya 18, Cork dakika ya 37, Pelle akafunga tena dakika ya 69kabla Sunderland hawajajifunga tena kupitia kwa Bridcutt dakika ya 63.
Mabao mengine ya Southampton yakafungwa na Tadic 78', Wanyama 79' na Mane 86'. Kwa ushindi huo, Southampton wanaendelea kukomaa kwenye nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.
Mabao mengine ya Southampton yakafungwa na Tadic 78', Wanyama 79' na Mane 86'. Kwa ushindi huo, Southampton wanaendelea kukomaa kwenye nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.
Matokeo ya mechi zote za Ligi Kuu zilizochezwa Jumamosi ni kama ifuatavyo. Manchester City 4 - 1 Tottenham Hotspur
Arsenal 2 - 2 Hull City
Burnley 1 - 3 West Ham United
Crystal Palace 1 - 2 Chelsea
Everton 3 - 0 Aston Villa
Southampton 8 - 0 Sunderland
Newcastle United 1 - 0 Leicester City
Burnley 1 - 3 West Ham United
Crystal Palace 1 - 2 Chelsea
Everton 3 - 0 Aston Villa
Southampton 8 - 0 Sunderland
Newcastle United 1 - 0 Leicester City