Angalia picha za Serengeti fiesta 2014 Dar es salaam

Msanii kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar Katika Show ya FIesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders.

Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika
Diamond Platnumz akitoa burudani
 Vanessa Mdee
 Dimpoz kwa pozi
 Ommy Dimpoz
 Mashabiki
 Banana
 Young Killa
 Waje kutoka NIgeria
 Mashabiki wakishangweka
 Victoria Kimani akiwajibika
 Rachel Kazini
 Rachel na wakata mauno wake.
 Barnaba
 Shaa na steji shoo wake wakiwajibika
Shaa akikata mauno

Wasanii wa ya Moto Band wakifana yao.
Rapper Nay wa Mitego akilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta.
Mkali kutoka Morogoro Stamina akitoa burudani.
Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumzakifanya makamuzi na Davido (kulia).
 
 
Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani   kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar
Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.
 
 
Powered by Blogger.