Rais Magufuli Amteua Profesa Lema Kuwa Mwenyekiti wa TAA
Rais John Magufuli, amemteua Profesa Ninatubu Lema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). Profe...
Rais John Magufuli, amemteua Profesa Ninatubu Lema kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). Profe...
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameelezea kukerwa na vitendo vya rushwa na kuwataka wanawake wajasiriamali kufichua kila aina ya rushwa ...
RAIS Dk. John Magufuli, amemwagiza Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Charles Mwijage kumrudishia mfanyabiashara maarufu nchini, Said...
Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anne Tibaijuka amesema amepata tuzo nchini Marekani ikiwa ni kuthamini mchango wake akiwa Umoja wa Mataifa ...
Uingereza imetoa mchango wa Shilingi Bilioni 6 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa miundombinu ya shule zilizopata mad...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Zainabu Chaula kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ametoa siku saba kwa taasisi za se...
Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyakazi wa kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo Madimba mkoani Mtwara waw...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Nchi kuchunguza ...
Watumishi 34 wa mahakama wakiwemo mahakimu 11, wamefukuzwa kazi kutokana na makosa mbalimbali ya kinidhamu. Aidha, Tume ya Utumishi wa Mahak...
Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kuwaunga mkono na kuwatumia wahandisi wa ndani wenye ujuzi mbalimbali katika utekelezaji wa miradi ya ...
Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali umemalizika katika mjini Mbabane Swaziland ambapo Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi muhimu n...
Na Sheila Simba-MAELEZO Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amewataka wahandisi nchini kufanya kazi kwa weledi na uad...
Na: Lilian Lundo- Maelezo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia watanzania kwamba mipaka y...
Na Abushehe Nondo na Sheila Simba-Maelezo Serikali imesema kuwa iliamua kununua ndege mbili za abiria aina ya Bombadier Q400 kutoka nchini C...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametangaza kuvifungia kwa muda usiojulikana vituo vya Radio 5 ya Arusha na Magic ...
MKOA wa Dodoma wakishirikiana na Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu (CDA) wametekeleza agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa la kuandaa n...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa amezindua treni ya pili ya abiria jijini Dar es Salaam, inayofanya safari za...
Na: Abushehe Nondo - MAELEZO Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi. Edwin A. Ngonyani amelitaka gazeti la Mseto kumuomba ...