Video: Magufuli Asema ni Muujiza Kushikana Mkono na Lowassa

Kauli hiyo aliitoa jana katika hotuba yake Baada ya kumalizika kwa misa takatifu ya maadhimisho ya Juibilei hiyo iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro Oysterbay, Dar es Salaam
Angalia Video hapa chini Rais Magufuli akiongea