NACTE yavifutia usajili vyuo 5 nchini, 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo na 175 vapewa notisi ya kushushwa hadhi.
NACTE yavifutia usajili vyuo 5 nchini, 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo na 175 vapewa notisi ya kushushwa hadhi.
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kuwa vyuo 5 vimefungwa kuendesha mafunzo na kufutwa kwenye rejista ya vyuo vya ufundi nchini.
Pia Baraza limetangaza kuwa vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria vimepewa muda wa wiki mbili na kutakiwa vijisajili mara moja kwenye Baraza hilo kabla ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Vilevile, vibali vya usajili wa vyuo 112 vya kutoa elimu ya ufundi vimefikia ukomo hivyo vinapaswa kutekeleza masharti ya Usajili; wakati vyuo 57 vimefikia ukomo wa ithibati, hivyo inapaswa kutekeleza masharti ya ithibati, imetangazwa jana.
Akiongea katika mkutano na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Baraza (NACTE), Mhandisi Steven Mlote, amesema Baraza limetoa muda wa mwezi mmoja kwa vyuo 112 kutekeleza masharti ya usajili na vyuo 52 kutekeleza masharti ya ithibati kwa mujibu wa sheria za uendeshaji vyuo vya ufundi nchini, na vyuo vitakavyoshindwa kutekeleza agizo hili vitafungiwa mara moja.
Mhandisi Mlote pia alitoa onyo akisema “vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria nimevipa muda wa wiki mbili na navitaka vijisajili mara moja kwenye Baraza kabla ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria”.
Mhandisi Mlote alivitaja vyuo vyote vyenye matatizo kama ifuatavyo:
Jedwali I: Vyuo vya Ufundi Vilivyofutiwa Usajili
NA. | CHUO |
State College of Health and Allied Sciences - Dar es Salaam | |
Zoom Polytechnic College - Dar es Salaam | |
Tabitha College – Dar es Salaam (formerly: Thabita Vocational Training College - Dar es Salaam) | |
Financial Training Centre - Dar es Salaam | |
TMBI College of Business and Finance - Dar es Salaam |
Jedwali II: Vyuo ambavyo Havijasajiliwa na vinavyoendesha Programu zisizo na Kibali cha Baraza
NA. | CHUO |
1. | King Solomoni College - Arusha |
2. | Avocet College of Hotel Management - Arusha |
3. | Kewovac Nursing Training Centre - Mbagala, Dar es Salaam |
4. | St. Family Health Training Institute - Mbagala, Dar es Salaam |
5. | Bethesda Montessori Teachers Training College - Arusha |
6. | Green Themi Teacher’s College & Green Themi Institute of Tourism |
7. | Mainland Institute of Professionals - Arusha |
8. | St. David College of Health - Dar es Salaam |
9. | Islamic Culture School - Dar es Salaam |
10. | Tanzania Education College - Dar es Salaam |
11. | Macmillan Training College - Dar es Salaam |
12. | Tanzania International University (TIU) - Dar es Salaam |
13. | Dodoma College of Business Management - Dodoma |
14. | Faraja Health and Emergencies - Mbeya |
15. | St. Joseph College - Mbeya |
16. | St. Peter Health Management - Mbeya |
17. | Kapombe Nursing School - Mbeya |
18. | Uyole Health Institute - Mbeya |
19. | Josephine Health Institute - Mbeya |
20. | Institute of Public Administration - Chake chake Pemba |
21. | Dar es Salaam College of Hotel and Business Studies - Vuga, Unguja, Zanzibar and Chake Chake, Pemba, Zanzibar |
22. | Zanzibar Training Institute, the Professional College of Information Technology, Languages and Business Studies - Mwera Meli Sita Unguja Zanzibar |
23. | Azania College of Management - Raha Leo, Zanzibar |
24. | Time School of Journalism - Chakechake, Pemba |
25. | Residence Professional College - Mombasa, Zanzibar |
26. | Mkolani Foundation Organisation - Mwanza |
27. | Kahama College of Health Sciences - Kahama |
28. | Institute of Adult Education-Mwanza Campus - Luchelele Site |
29. | Zoom Polytechnic - Bukoba |
30. | Johrow Star Training College - Shinyanga |
31. | St. Thomas Training College – Shinyanga |
32. | Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication DMSJ - Bukoba |
33. | Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ - Mwanza |
34. | Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ - Geita |
35. | Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ - Simiyu |
36. | Harvest Institute of Health Sciences - Mwanza |
37. | Singin International - Bukoba |
38. | College of Business Management - Mombasa, Zanzibar |
39. | Tanzania Star Teachers College - Chakechake, Pemba, Zanzibar |
40. | Tanzania Star Teachers College - Unguja, Zanzibar |
41. | St. Mary's International School of Business - Sumbawanga |
Jedwali III: Vyuo Vilivyosajiliwa lakini Vinatoa Programu zisizo na Kibali cha Baraza
NA. | CHUO | PROGRAMU |
1. | AP and Prime College of Business Studies - Dar es Salaam | Medical Attendant |
Nursing Assistant | ||
2. | Universal College of Africa - Dar es Salaam | Banking and Finance |
Business Administration | ||
Clearing and Forwarding | ||
Airfares | ||
Information and Communication Technology | ||
Nursing | ||
Hotel Management | ||
Secretarial Course | ||
Procurement and Supplies | ||
3. | Professional Skills Development International (PSDI-CENTRE) Centre - Bagamoyo | Offering Non-NTA programmes (Various Short Courses) |
4. | Ruter Institute of Financial Management - Mwanza | Accountancy |
Procurement and Supply | ||
Banking and Finance | ||
ICT | ||
5. | Mwanza Polytechnic College - Maswa | Ordinary Diploma in Early Childhood Education |
6. | Royal College of Tanzania - Dar es Salaam | Law |
7. | Belvedere Business and Technology College - Mwanza | Accountancy |
8. | Chato College of Health Sciences and Technology - Chato | Pharmacy |
9 | St. Glory College of Health and Allied Sciences - Dar es Salaam | Medical Attendant |
10. | Zoom Polytechnic College - Dar es Salaam | Computer Science |
11. | Zanzibar Technology College - Zanzibar | Computer Science Business Information System |
Jendwali IV: Vyuo vyenye Hadhi ya Usajili Iliyokwisha Muda wake
NA. | CHUO |
Mteule Training College - Morogoro | |
Favre Language and Communication Institute - Dar es Salaam | |
Eagle Wings Training College - Dar-es-Salaam | |
The Sinon College - Dar es Salaam | |
Green Hill Institute (GHI) - Mbeya | |
Institute of Business Management (IBM) - Morogoro | |
Modern Commercial Institute (MCI) - Dar es Salaam | |
Evin School of Management - Dar es Salaam | |
SAMFELIS College of Business Studies - Dar es Salaam | |
Agape College - Dar es Salaam | |
Belvedere Business and Technology College - Mwanza | |
Dar es Salaam Institute of Business Management - Dar es Salaam | |
Ellys Institute of Technology - Bunda | |
Tanzania Institute of Chartered Secretaries and Administrators (TICSA) - Arusha | |
Msakamali Institute of Business Studies and Technology (MIBST) - Msata | |
Cum Laude College - Njombe | |
Tarime Institute of Business Management (formerly Tarime Business Training Institute) - Tarime | |
Dar es Salaam College of Hotel and Business Studies - Dar es Salaam | |
Institute of Management and Development Studies - Iringa (Formerly: Sophist Tanzania College - Iringa) | |
Greenbelt Polytechnic College - Morogoro | |
Zanzibar Institute of Journalism and Mass Communication (ZIJMC) - Zanzibar | |
Habari Media Training Centre (HAMETC) - Dar es Salaam | |
City Media College - Arusha | |
Arusha East African Training Institute - Arusha | |
AP and Prime College of Business Studies – Dar es Salaam | |
DayStar Training College - Dar es Salaam | |
Emmanuel Community College - Kibaha | |
Victoria Institute of Tourism and Hotel Management - Mwanza | |
Zanzibar Professional Training Institute (ZPTI) - Zanzibar | |
Rungwe International College of Business and Entrepreneurship - Mbeya | |
Mbengwenya College of Business and Information Technology - Mbinga | |
Musoma Utalii College - Shinyanga | |
Dar es Salaam Institute of Journalism and Mass Communication (DIJMC) - Dar es Salaam | |
Ubuntu Institute of Social Justice (UISJ) - Mwanza | |
Institute of Skills Development (ISD) - Morogoro formerly: RK Institute of Innovations (RKII) - Morogoro) | |
Mbeya Training College (MTC) - Mbeya | |
Media and Values Training Institute (MEVATI) - Dar es Salaam | |
Marian College of Law (MCL) - Dar es Salaam | |
PCTL Training Institute (PTI) - Dar es Salaam | |
KAPS Community Development Institute - Mafinga, Iringa | |
41 | Professional Skills Development International (PSDI-CENTRE) Centre - Bagamoyo |
42 | East African Institute of Entrepreneurship and Financial Management (EAIEFM) - Arusha |
43 | New Focus College - Mbeya |
44 | Northern Peaks Business College (NPBC) - Arusha |
45 | Mbalizi Polytechnic College - Mbeya |
46 | Genesis School of Information Technology and Journalism - Dar es Salaam |
47. | Kiteto School of Nursing - Kibaya |
48. | Kunduchi Nursing School – Dar es Salaam |
49. | Wisdom Medical laboratory Training and Research Centre - Dodoma |
50. | Global Community College - Geita |
51. | KCMC School of Assistant Medical Officers (Radiology) - Moshi |
52. | School of Physiotherapy - Moshi |
53. | Advanced Paediatric Nursing School - Moshi |
54. | KCMC Assistant Medical Officers’ Ophthalmology School - Moshi |
55. | Advanced Ophthalmic Nursing School - Moshi |
56. | Nicodemus Hhando School of Health Sciences - Manyara |
57. | Litembo Health Laboratory Sciences School - Mbinga |
58. | Rukwa College of Health Sciences - Sumbawanga |
59. | Clinical Officers’ Training Centre - Songea |
60. | Clinical Officers’ Training Centre - Sumbawanga |
61. | Isimila Nursing School - Iringa |
62. | St. Peters Health Training Institute - Iringa |
63. | CAGETI Polytechnic College - Mafinga |
64. | Makambako Institute of Health Sciences - Makambako |
65. | Mbozi School of Nursing - Mbeya |
66. | Biharamulo Health Sciences Training College - Kagera |
67. | St. Bernard Health Training Institute - Katoro, Geita |
68. | Karagwe College of Medical Laboratory and Allied Sciences - Karagwe |
69. | Geita Medical Laboratory and Nursing Training College - Geita |
70. | Royona College of Health and Allied Sciences - Mwanza |
71. | Assistant Medical Officers’ Training Centre - Bugando |
72. | GISAN Health Training Institute - Mwanza |
73. | St. Maximilliancolbe Health College - Tabora |
74. | Sr. Dr. Thekla Nyangao School of Nursing - Lindi |
75. | Karatu Health Training Institute - Arusha |
76. | St. Peter’s College of Health Science – Dar es Salaam |
77. | St. Gaspar Nursing School - Singida |
78. | City College of Health and Allied Sciences - Dar es Salaam |
79. | Sumve School of Nursing - Kwimba |
80. | Pamoja College of Agriculture and Livestock - Babati |
81. | Regional Aviation College - Dar es Salaam |
82. | Institute of Management and Information Technology - Dar es Salaam |
83. | Institute for Environment and Development Sustainability - Dar es Salaam |
84. | Fire and Rescue Training Centre - Dar es Salaam |
85. | TPDF IT Centre - Dar es Salaam |
86. | Zanzibar Technology College - Zanzibar |
87. | Modern Polytechnic - Zanzibar |
88. | Community Resources Development Organisation Training Institute - Mwanza |
89. | Muleba Lutheran Vocational Training Centre - Muleba |
90. | Ministry of Agriculture Training Institute Maruku -Bukoba |
91. | Mwangaria Institute of Agriculture and Livestock - Moshi |
92. | Simanjiro Animal Husbandry Vocational Training Centre - Arusha |
93. | MATI IGURUSI - Mbeya |
94. | Kilimanjaro Agricultural Training Centre - Moshi |
95. | LITA Buhuri - Tanga |
96. | Forest Industries Training Institute (FITI) - Moshi- |
97. | Arusha Institute of Technology - Arusha |
98. | MATI Mtwara - Mtwara |
99. | National Meteorological Training Centre - Kigoma |
100. | Visele Live-crop Skills Training Centre - Mpwapwa |
101. | Mt. Maria Goretti College of Agriculture - Mazombe, Kilolo |
102. | Institute of Lands – Dar es Salaam |
103. | Horticulture Research and Training Institute (HORTI) – Tengeru, Arusha |
104. | VETA Kipawa Information and Communication Technology – Dar es Salaam |
105. | Gataraye Research and Training Centre – Dar es Salaam |
106. | Nyerere Road Teacher’s College - Singida |
107. | Bugingo Teachers College - Pwani |
108. | Majority Teacher’s College - Mbeya |
109. | MAM Institute of Education - Mbeya |
110. | Victoria Unique College - Mwanza |
111. | Mwanza Polytechnic Institute - Mwanza |
112. | Zanzibar Education College - Zanzibar |
Jedwali V: Vyuo vyenye Hadhi ya Ithibati Iliyokwisha Muda wake
NA. | CHUO |
1. | Gender Training Institute (GTI) - Dar es Salaam |
2. | DINOBB Institute of Sciences and Business Technology -Ipinda, Mbeya |
3. | Royal College of Tanzania (formerly: Royal College of Journalism - Dar es Salaam) |
4. | Morogoro School of Journalism (MSJ) - Morogoro |
5. | Dar-es-Salaam School of Journalism (DSJ) - Dar es Salaam |
6. | Shukrani International College of Business Management and Administration - Mbeya |
7. | Dar-es-Salaam City College (DACICO) - Dar es Salaam |
8. | Institute of Continuing and Professional Studies – Zanzibar |
9. | Korogwe School of Nursing - Korogwe |
10. | Dental Therapists Training Centre - Tanga |
11. | Dental Therapists Training Centre - Mbeya |
12. | Assistant Medical Officers’ Training Centre - Tanga |
13. | Assistant Medical Officers’ Training Centre - Mbeya |
14. | School of Dental Therapy - Mbeya |
15. | Njombe School of Nursing - Njombe |
16. | Clinical Officers’ Training Centre - Mafinga |
17. | Kibaha Clinical Officers’ Training Centre – Coast Region |
18. | Mkomaindo School of Nursing - Masasi |
19. | Tosamaganga School of Nursing - Iringa |
20. | Newala School of Nursing - Mtwara |
21. | Mbulu School of Nursing - Manyara |
22. | Lindi Clinical Officers’ Training Centre - Lindi |
23. | Maswa Clinical Officers’ Training Centre - Shinyanga |
24. | KCMC School of Physiotherapy - Moshi |
25. | KCMC School of Advanced Paediatric Nursing - Moshi |
26. | KCMC AMO Anaesthesia School - Moshi |
27. | Geita School of Nursing - Geita |
28. | Muhimbili School of Midwifery - Dar es Salaam |
29. | Sengerema Health Training Institute - Sengerema |
30. | KAM College of Health Sciences - Dar-es-Salaam |
31. | Kilimatinde Nurses and Midwives Training School - Manyoni |
32. | Kiomboi Nurses and Midwives Training School - Iramba |
33. | Royal Training Institute - Dar-es-Salaam |
34. | Heri School of Nursing - Kigoma |
35. | College of Health Sciences Zanzibar - Zanzibar |
36. | Clinical Officers’ Training Centre - Musoma |
37. | Kagemu School of Environmental Health Sciences - Bukoba |
38. | Bugando School of Nursing - Mwanza |
39. | Ngudu School of Environmental Health Sciences - Kwimba |
40. | Lugalo Military Medical School - Dar-es-Salaam |
41. | Lugarawa School of Nursing - Ludewa |
42. | Mvumi Institute of Health Sciences - Dodoma |
43. | Masasi Clinical Assistants Training Centre - Masasi |
44. | Ndanda Nursing School - Masasi |
45. | Massana College of Nursing - Dar-es-Salaam |
46. | Machame Health Training Institute - Kilimanjaro |
47. | Vector Control Training Centre - Muheza |
48. | Operating Theatre Management School - Mbeya |
49. | Tarime School of Nursing - Tarime |
50. | Bandari College – Dar es Salaam |
51. | Civil Aviation Training Centre - Dar es Salaam |
52. | Institute of Wildlife Management Pasiansi - Mwanza |
Imetolewa na:
KAIMU KATIBU MTENDAJI
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
TAREHE: 3 AGOSTI 2016