Uchunguzi unaonyesha hakuna ishara ya kwamba mwanamuziki Prince alijiua
Utawala katika jimbo la Minnesotta nchini Marekani umekuwa ukitoa taarifa kufuatia uchunguzi kifo cha mwanamuziki Prince. Utawala huo umesema kuwa hakuna dalili ya kuumia kwenye mwili wa Prince ambao ulipatikana nyumbani kwake karibu na Minneapolis siku ya Alhamisi. Hivyo hakuna haja ya kuwesema mwanamuziki hiyo alikuwa amejiua.
Msemaji wa wachunguzi (Martha Weaver) alisema kuwa uchunguzi kwenye maiti ya mwanamuziki huyo umekamilika na kwamba wameisalimisha maiti hiyo kwa familia yake.
Msemaji wa wachunguzi (Martha Weaver) alisema kuwa uchunguzi kwenye maiti ya mwanamuziki huyo umekamilika na kwamba wameisalimisha maiti hiyo kwa familia yake.