Home/Diamond/Diamond Platnumz kutambulisha kichwa kipya kutoka wasafi....
Diamond Platnumz kutambulisha kichwa kipya kutoka wasafi....
Kupitia twitter Diamond Platnumz ametufahamisha kuwa tuwe tayari kwa utambulisho wa msanii mpya katika kundi la wasafi baada ya mafanikio makubwa ya Harmonize.