Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa msemaji mkuu wa CCM
Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni Katibu Mwenezi wa chama Ndugu Nape Nnauye na Ole sendeka katikati
Sendeka ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana mbele ya Waandishi wa Habari jijini Dar.