BASATA waufungia wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva '

Baraza la Sanaa  Tanzania, Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva ' na nyinginezo zenye ujumbe kama ule.

Basata imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.
Powered by Blogger.