Siku, saa, tarehe na eneo litakalotumiwa na UKAWA kwa uzinduzi wa kampeni latajwa
UKAWA watazindua rasmi kampeni za urais na uchaguzi kwa ujumla siku ya Jumamosi ya tarehe 29/08/2015 katika viwanja vya Jangwani..Wananchi mnaombwa kujitokeza kwa wingi ilikusikiliza sera za upande wa pili kabla ya kufanya mahamuzi yaliyo sahihi..
