MAHABA.. Shilole avishwa Pete ya uchumba na Nuh Mziwanda

Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed  “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili  jana usiku  alishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar na kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.

Powered by Blogger.