PICHA SI NZURI... MAAFA YATOKEA NIGERIA KUFUATIA MLIPUKO WA BOMU....Soma zaidi hapa

Asubuhi ya leo kumetokea tukio la kusikitisha huko Nijeria ambalo limesababisha maafa ya watu kadhaana majeruhi wengi zaidi.
 
Milipuko huo ambao ulitokea katika kituo cha Mabasi kukiwa na msongamano wa magari, asubuhi ya leo wakiwa tayari kuelekea makazini kwao.Inasemekana kuwa kunamoja kati ya mabasi lilikuwa na bomu.

































Powered by Blogger.