Baadhi ya washiriki katika usahili wa watangazaji na ma-DJ wakiwa nje ya jengo la K-NET kawe jijini Daresalaam
Mmoja kati ya Ma-DJ washiriki akiwa katika usahili ndani ya studio za 93.7 fm Kawe, Daresalaam
Mshiriki katika usahili wa Watangazaji akifanya vitu vyake wakati wa usahili.