Kajala Masanja afunguka na siri yake hii............Soma zaidi hapa
Star wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa machozi yake huwa yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu lazima alie,
Akipiga stori mbili-tatu Kajala alisema: “Machozi yangu yapo karibu sana sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia yaani mtu akinikorofisha kidogo tu lazima nitoe machozi ndipo hasira zitulie.