Wanajeshe wakielekeza magari jinsi ya kuvuka katika daraja la kongowe. Gari la abiria likivuka daraja jipya lililokarabatiwa na wanajeshi Wananchi waamua kutembea kwa mguu kutokana na msongamano wa magari