Home/Siasa/Angalia video ya Rais JK akiongelea kuhusu wanasiasa kuwasema vibaya wahasisi wetu...
Angalia video ya Rais JK akiongelea kuhusu wanasiasa kuwasema vibaya wahasisi wetu...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongelea wanaowasema vibaya waasisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Abeid Aman Karume na Julius Kambarage Nyerere wakati wa mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 15, 2014.