Picha za uchi za Wasanii..Je lawama ziende kwa nani???

 Msanii anayechipukia katika Tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu wake baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar, mashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo kupita kiasi.
Tukio hili lilitokea weekend iliyopita ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya masaa kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.

Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni kama vile  Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maisha,Men day out na nyingine nyingi very soon zitakuwa hewani.
Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kweli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa.

Powered by Blogger.