Katibu wa chama cha CCM, Abdulrahman Kinana azungumza na wananchi wa kata ya Chumo wilayani Kilwa
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kata ya Chumo Wilayani Kilwa mkoa wa Lindi wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza sughuli za maendeleo zinazotekelezwa na serikali kwa pamoja na wananchi huku akihimiza huai wa chama, Katibu Mkuu Kinana yuko katika ziara ya mikoa ya Lindi na Mtwara akiongozana na Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye pamoja na Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi Mh. Bernald Membe.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kata ya Chumo wilayani Kilwa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ili kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Chumo.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiwahutubia wananchi katika kata ya Chumo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Chumo.Nape akisisitiza jambo katika mkutano huoMbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi na Mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi Mh. Bernald Membe akishuka jukwaani mara baada ya kuwasalimia wananchi wa kata ya Chumo.Wananchi wakiwa wamefurika kwa wingi katika mkutano huo.Wananchi wakipunga mikono juu kuashiria kukubali hotuba iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya serikali ya kata ya Chumo A nyuma ni Mbunge wa jimbo la Mtama na mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi Mh Bernald Membe.Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akiongozana na Mbunge wa jimbo la Mtama na mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi Mh Bernald Membe wakati walipowasili katika kata ya Chumo AMbunge wa jimbo la Mtama na mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi Mh Bernald Membe na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Abdallah Ulega wakiserebuka na muziki baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM kuwasili katika eneo la mkutano wa hadhara kata ya Chumo.Umati wa wananchi ukiserebuka na muziki kabla ya kuanza kwa mkutano huo.Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa Maimuna Mtanda akizungumza na wananchi katika mkutano huo. Mbunge wa jimbo la Mtama na mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi Mh Bernald Membe akisalimia wananchi katika kata ya Chumo A huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza, Kushoto mwenye fulana ya njano ni Mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazi Mh. Mutaza MangunguMbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazi Mh. Mutaza Mangungu akitoa maelezo kwenye mradi wa ujenzi wa ofosi ya jimbo Kata ya Chumo A wakati Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia alipotembelea na kukagua ujenzi wa ofisi hiyo wa pili kutoka kulia ni MNEC wa mkoa wa Lindi na Mbunge wa jimbo la Mtama Mh Bernald Membe na kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi.Mafundi wakiendelea na Ujenzi wa ofisi ya jimbo kwenye Kata ya Chumo wilayani Kilwa mkoani Lindi.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya kijiji cha Tingi Kikundi Cha ngoma kikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Tingi wilayani Kilwa mkoani Lindi.