Kundi la Orijino komedi wamenunua nyumba 7 za NSSF zenye thamani ya sh.840M

Kundi la vichekesho la orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi nyumba 7 wasanii wa kundi hilo zenye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo kila nyumba moja imenunuliwa kwa shilingi milioni 120

Powered by Blogger.