DIAMOND AKAMATWA NA KUACHIWA KWA DHAMANA
Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha polisi Kituo cha Polisi cha Oyster Bay, alihojiwa kwa masaa kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ kituoni hapo.