AJALI YATOKEA MWENGE JIJINI DAR, WAWILI WAKIMBIZWA HOSPITALI
Gari aina ya Toyota Carina T.I yenye namba za Usajili T 821 CRG ikiwa imetumbukia kwenye mtaro katika eneo la Mwenge njia ya Kuelekea Katika Kiwanda cha Coca Cola mara baada ya kugonga bajaji (haipo Pichani) na kupelekea kujeruhi abiria wawili waliokuwa katika Bajaji. Mpaka tunaondoka Katika Eneo la Tukio Hatukuweza kupata taarifa kuhusu dereva wa gari hiyo.