Anusurika kifo na mwingine kuchomwa moto wakijaribu kuiba pikipiki Kahama
Haya twendeni vizuri sasa angali huko kwako ana nguvu huyu mtu hunaona halivyokaaa
Baada ya kufikishwa hospital ya wilaya ya kahama kwa matibabu ana baada ya wasamaria wema wakimsaidia nesi kumpeleka kwa dakitali kwa huduma.
Nes nisaindieni jaamani nipo pekee yangu ndiyo maneno ya nes naosema na kumuweka katika kiti cha wangonjwa.
Jamani muinueni huko tumuweke kwenye kiti kwa ajili ya huduma hospitali ya wilaya ya kahama
Jamani hajakaa vizuri mshikilieni vizuri kwanza